Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa Mamelodi wanagawa dozi tu huko Ulaya

Mamelodi(1).png Hawa Mamelodi wanagawa dozi tu huko Ulaya

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Mamelodi Sundowns imeibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Mabingwa mara 6 wa Ligi Kuu Uholanzi, Sparta Rotterdam katika mchezo wa kirafiki uliopigwa Nchini Uholanzi leo Julai 25, 2023.

FT: Mamelodi Sundowns 4-1 Sparta Rotterdam

Peter Shalulile ⚽️⚽️

Lucas Ribeiro Costa ⚽️

Thapelo Maseko ⚽️

Hii ni mechi ya tatu kwa Sundowns, almaarufu WaBrazil katika ziara yake barani Ulaya kufuatia sare ya ????-???? dhidi ya KAA Gent ya Ubelgiji na ushindi wa ????-???? dhidi ya Mabingwa mara 4 wa Ligi Kuu Uholanzi, Go Ahead Eagles FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live