Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa Chelsea kama Azam FC tu

IMG 6133.jpeg Chelsea walikubali kichapo cha Mabao 2-0 Darajani

Sun, 29 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matajiri wa London,Timu ya Chelsea wamechapwa Mabao 2-0 na Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jana Jumamosi Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.

Matajiri wa London,Timu ya Chelsea wamechapwa Mabao 2-0 na Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jana Jumamosi Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Mabao ya Brentford yamefungwa na Ethan Pinnock dakika ya 58 na Bryan Mbeumo dakika ya 90 na ushei na kwa ushindi huo Bees wanafikisha pointi 13 na kupanda nafasi ya 10 wakiishushia Chelsea nafasi ya 11 ikiwa na pointi 12 baada ya wote kucheza mechi 10.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live