Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatma ya majeraha ya Pacome, Yao kujulikana Jumatano

Hatma Ya Majeraha Ya Pacome, Yao Kujulikana Jumatano Hatma ya majeraha ya Pacome, Yao kujulikana Jumatano

Mon, 18 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pacome amepata mgongano wa goti na Yao amepata maumivu ya nyama za paja. Kwa mujibu wa Doctor wa Yanga majibu kamili ya wachezaji hao yatatoka baada ya saa 72 kutoka mchezo wa Jana.

Pacome amepata mgongano wa goti na Yao amepata maumivu ya nyama za paja. Kwa mujibu wa Doctor wa Yanga majibu kamili ya wachezaji hao yatatoka baada ya saa 72 kutoka mchezo wa Jana. Nyota hao waliumia kwenye mchezo wao na Azam ulioisha kwa Yanga kufungwa 2-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live