Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatma ya Bernado Silva Man City baada ya Euro

Bernado Silva Bernad Bernado Silva

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Le Perisien wamesema kuwa PSG ambao kwa muda walikuwa wanamtaka Bernardo Silva wamekata tamaa hivyo kuna uwezekano mkubwa nyota huyo akaendelea kubaki City

Ndoto kubwa ya Bernardo Silva ni kwenda Barcelona, ila bahati mbaya Barcelona hawana uwezo wa kulipa €55 milioni kama release clause ya mchezaji huyo.

Kwa sasa Bernardo ana furaha ndani ya City na hatma ya kuongeza mktaba au maamuzi mengine ni baada ya EURO.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live