Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Morocco anyoosha mikono juu Geita Gold

Hemed Morocco Kocha Kocha Mkuu wa Geita Gold FC, Hemed Suleiman ‘Morocco’

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rasmi sasa Kocha Hemed Suleiman Morocco amefikia makubaliano na Uongozi wa klab ya Geita Gold juu ya kuachia nafasi yake ya Ukocha Mkuu ndani ya klabu hiyo na tayari amekwisha waaga Wachezaji na pamoja na Waliokuwa Viongozi wake klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: