Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Kramo arejea kwao

Kramo Majeruhi Hatimaye Kramo arejea kwao

Tue, 19 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Aubin Kramo amerejea nyumbani kwao lvory Coast kwa ajili ya kujiuguza jeraha lake la goti ambalo limekuwa likimsumbua tangu atue klabuni hapo.

Uongozi wa Simba ulipanga kumpa mapunziko ya wiki moja hadi mbili arudi nyumbani kwao kujiuguza na kujiweka sawa baada ya kufanyiwa vipimo vya MRI.

Kramo amesharejea nyumbani kwao ambapo atakaa kwa wiki mbili kabla ya kurejea nchini kuendelea na majukumu yake klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live