Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Kitayosce yafunguliwa adhabu ya kusajili

Hatimaye Kitayosce Yafunguliwa Adhabu Ya Kusajili.jpeg Hatimaye Kitayosce yafunguliwa adhabu ya kusajili

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Kitayosce (Tabora United) imefunguliwa adhabu ya kusajili dirisha hili la usajili.

Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) baada ya klabu hiyo kumlipa mchezaji wa kigeni Rahim Osumanu aliyekuwa amewafungulia mashitaka ya kuwadai.

Awali, klabu hiyo ilitakiwa iwe imewalipa ndani ya siku 45 tangu uamuzi huo ulipotolewa lakini haikutelekeza huku hizo.

Hata hivyo, taarifa iliyotoka jioni hii Agosti 16, 2023, FIFA imewaondolea adhabu hiyo huku pia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) likitangaza kuifungulia kufanya uhamisho wa ndani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live