Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Joh Bocco atangaza kutundika daluga

John Bocco AFL John Bocco

Wed, 29 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Kimataifa wa Taifa Stars na klabu ya Simba SC, John Bocco ametangaza kustaafu soka baada ya kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara kwa zaidi ya Misimu 16.

Bocco ndiye mchezaji mwenye magoli mengi katika Historia ya mpira wa miguu Tanzania. Kwani amefanikiwa kufikisha Mabao 154. mbele ya mwamba Mohammed Mmachinga mwenye Magoli 152.

Yote kwa yote huyu Mwamba hapaswa kuagwa kizembe kwani ni miongoni mwa Watu walioweka rekodi ndani ya Ligi kuu hapa Tanzania Bara.

Kila la kheri Legend kwenye Majukumu yako mapya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live