Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Greenwood aondoka Man United

Greenwood Parts Ways With Man Utd  Joins Marseille  Screenshots Om Officiel Mason Greenwood

Fri, 19 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji Mason Greenwood amekamilisha uhamisho wa kujiunga na miamba ya Ufaransa, Olympique Marseille akitokea Manchester United kwa ada ya Euro Milioni 26 pamoja na ongezeko la Euro Milioni 5 baadae.

Mshambuliaji Mason Greenwood amekamilisha uhamisho wa kujiunga na miamba ya Ufaransa, Olympique Marseille akitokea Manchester United kwa ada ya Euro Milioni 26 pamoja na ongezeko la Euro Milioni 5 baadae. Greenwood (22) raia wa England atakuwa anavaa jezi namba 10 ndani ya klabu hiyo inayonolewa na aliyekuwa kocha wa Brighton, Roberto De Zerbi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live