Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Dani Alves aachiwa kutoka gerezani

Dani Alves Legend Status Hatimaye Dani Alves aachiwa kutoka gerezani

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji Dani Alves ameachiliwa kutoka Gerezani baada ya kulipa dhamana ya Euro Milioni Moja akisubiri baada ya kukata rufaa kuhusu kesi ya ubakaji.

Dani Alves anashutuhumiwa kwa ubakaji na ambapo alikuwa amehukumiwa kifungo cha miaka minne na nusu Gerezani kabla ya kuomba kutoka kwa dhamana.

Baada ya nyota huyo wa zamani wa kandanda ambaye amewahi kukipiga katika timu za Barcelona na Paris Saint-Germain, kuachiliwa kwa dhamani kutoka gerezani, atakuwa anaripoti Mahakamani akiwa anatoka katika nyumba yake ya kifahari iliyopo Esplugues karibu na mji wa Barcelona.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live