Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Aziz Ki kimeeleweka Yanga

Aziz KI 9 Goals Aziz Ki.

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

AZIZ KI, YANGA KIMEELEWEKA KUPEWA KUSAINI MIAKA MIWILI

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, raia wa Burkina Faso, Stephen Aziz Ki amefikia makubaliano mazuri na Uongozi wa timu hiyo, ya kuendelea kubakia kuvaa jezi zenye rangi ya kijani, njano katika msimu ujao.

Inaelezwa kuwa Menejimenti ya kiungo huyo, imekubali kukaa meza moja kuingia mkataba miwili ya kuichezea timu hiyo.

Kiungo huyo ni kati ya wachezaji ambao mikataba yao, unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu, ambaye alijiunga na Yanga akitokea Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live