Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hata tukishinda UEFA lazima niondoke Barca - Xavi

Hata Tukishinda UEFA Lazima Niondoke Barca   Xavi Hata tukishinda UEFA lazima niondoke Barca - Xavi

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Barcelona, Xavi Hernandez ameweka wazi kuwa hata ikitokea Barcelona wameshinda Klabu Bingwa Ulaya UEFA bado mpango wake ni kuondoka Barcelona mwezi June.

Kocha wa Barcelona, Xavi Hernandez ameweka wazi kuwa hata ikitokea Barcelona wameshinda Klabu Bingwa Ulaya UEFA bado mpango wake ni kuondoka Barcelona mwezi June. "Tunashindana kwenye Ligi lakini pia Klabu Bingwa. Japo mashindano ni magumu lakini ni lazima tupambane. Hata kama tukifanikiwa kushinda fainali pale Wembley lazima niondoke Barcelona," kauli za Xavi kwa wanahabari.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live