Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hassan Dalali afichua walivyoifanyia Yanga Umafia kwa mchezaji huyu

Hassan Dalali Mwenyekiti mstaafu wa Simba Hassan Dalali

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Matawi ya Simba Mkoa wa Dar es Salaam, Hassan Dalali amesema waliwahi kuwapokonya watani wao Yanga mchezaji baada ya kumfuata nyumbani kwani na kumtisha kwa silaha butu zikiwemo mapanga na nondo.

Dalali amesema hayo Mei 15, 2024 alipokuwa akifanya mahojiano maalumu na Mwananchi Digital nyumbani kwake jijini Dar es Salaa.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: