Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hasheem Ibwe ateuliwa kuwa Kaimu Afisa Habari Azam FC

Ibwe 12.jpeg Hasheem Ibwe

Tue, 18 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC imemtangaza mtangazaji Hasheem Ibwe kama Kaimu Afisa Habari wa timu hiyo kuanzia Oktoba 18, 2022 hadi hapo itakapotangaza vinginevyo.

Uamuzi huo umekuja baada ya aliyekuwa Afisa Habari, Thabit Zakaria kufungiwa miezi mitatu kwa kosa la kuwashutumu waamuzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live