Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harry Maguire kutua West Ham

Harry Maguire After Man Utd Concede A Goal Harry Maguire

Mon, 17 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

West Ham inaangalia uwezekano wa kuwasilisha ofa Manchester United ili kuipata huduma ya beki wa kati na kapteni wa timu hiyo Harry Maguire, 30, kwa mkopo katika dirisha hili.

West Ham inaangalia uwezekano wa kuwasilisha ofa Manchester United ili kuipata huduma ya beki wa kati na kapteni wa timu hiyo Harry Maguire, 30, kwa mkopo katika dirisha hili. Maguire ni miongoni mwa mastaa wanaohusishwa kuondoka Man United kwa ajili ya kutafuta changamoto mpya lakini timu nyingi zinaonekana kushindwa kumnunua kutokana na kiasi kinachohitajika na Man United kuwa kikubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live