Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harry Maguire aweka kambi ureno, apiga tizi mara 3 kwa siku

Maguire Tizi Maguire na Carvalho

Mon, 10 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Harry Maguire anafanya mazoezi mara tatu kwa siku akiwa nchini Ureno kwa takribani wiki tatu sasa.

Anafanya mazoezi na beki wa zamani wa Ureno Ricardo Carvalho. Maguire bado anataka kupigania nafasi yake Manchester United, hataki kukataa tamaa.

Manchester United wako tayari kufanya biashara na klabu yoyote inayomtaka Harry Maguire.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live