Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harry Kane ni habari nyingine kwa kutupia wavuni

Skysports Harry Kane Bayern Munich 6265178 Harry Kane

Tue, 30 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wikiendi iliyopita straika wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane alifunga bao lake la 400 kwenye maisha yake ya soka.

Wikiendi iliyopita straika wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane alifunga bao lake la 400 kwenye maisha yake ya soka. Mabao hayo ni mjumuisho wa timu ya taifa na klabu tangu aanze kucheza soka la kulipwa mwaka 2010 alipopandishwa timu ya wakubwa akitokea timu B ya Tottenham.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live