Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harry Kane, mungu anakupa unachostahili sio ukipendacho

Skysports Harry Kane Bayern Munich 6265178 Harry Kane

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika wa England, Harry Kane alikimbilia Bayern Munich kutoka Spurs inayoshiriki EPL ili kubeba Kombe kubwa maishani mwake.

Kabla ya Kane kwenda huko Bayern walishinda kombe la ligi kuu kwa misimu 11 mfululizo,ila awamu hii mambo Siyo mambo wako nyuma ya Bayer Liverkusen kwa alama 8 na mechi zimebaki 12 Kabla ya ligi kuisha.

Aisee Mungu anakupa unachostahili, Siyo ukipendacho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live