Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harry Kane mbioni kupata mtoto wa nne?

WhatsApp Image 2023 03 30 At 15.jpeg Harry Kane na mkewe wanatarajia kupata mtoto wa nne

Thu, 30 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa timu ya taifa ya England Harry Kane na mkewe Kate wanatarajia kupata mtoto wa nne.

Kupitia mtandao wa Instagram, Kane (29) ameposti picha akiwa na mkewe huku wakiwa wameshikilia kipimo cha ujauzito kinachoonyesha majibu chanya.

Posti hiyo iliambatana na ujumbe mfupi uliosema ”Tuna furaha kubwa kutarajia mtoto namba 4!”

Katika posti hiyo pia kuna video fupi inayoonyesha kiumbe hiko kikiwa tumboni. Video hiyo ina swali fupi lililouliza ” Ni jinsia gani?".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live