Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harry Kane awapa neno hili Mashabiki wa Spurs akitua Bayern (+Video)

Harry Kane.jpeg Harry Kane

Sat, 12 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kudumu kwa miaka 19 katika kikosi cha Tottenham, mshambualiaji Harry Kane leo amewaaga mashabiki wa timu hiyo na kutangazwa kuwa mchezaji rasmi wa Bayern Munich ya Ujerumani kwa mkataba wa miaka minne hadi 2027.

Hizi hapa takwimu zake akiwa Tottenham

Mechi 435

Mabao 280

Asisti 64

Kiatu cha dhahabu mara 3 EPL

Mara 1 mchezeshaji bora wa msimu EPL

Mchezaji bora mara 3 wa Tottenham kwa mwaka

Tazama Video hapa chini kumtazama Harry Kane akiwaanga Tottenham;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live