Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harry Kane apata mtoto wa Kiume

SD SPORT OFF PLATFORM KANE BABY Harry Kane apata mtoto wa Kiume

Tue, 22 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Bayern Munich, Harry Kane (30) na mkewe Kate wamejaaliwa kupata mtoto wa kiume.

Kupitia mtandao wa Instagram Kane amesheherekea kuzaliwa kwa mtoto huyo ambaye ni wanne kwa familia hiyo jina lake wamemuita Henry Edward Kane.

Familia hiyo hivi karibuni ilihamia Munich ambako Harry amehamia kikazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live