Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harry Kane afanya balaa zito Bundasliga

Skysports Harry Kane Bayern Munich 6265178 Harry Kane

Sat, 11 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hadi hivi sasa Harry Kane ana magoli 17 katika michezo 11 aliyoitumikia Bayern Munich msimu huu kwenye Ligi ya Bundesliga.

Msimu uliopita Christopher Nkunku na Niclas Fullkrug walimaliza Ligi wakiongoza kwa ufungaji bora wakiwa na magoli 16.

Harry Kane amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya Bundesliga kufunga magoli 17 kwenye mechi 11 za mwanzo .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live