Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hali mbaya kifedha, Barcelona wajisalimisha kwa Laliga

Joan Laporta JOAN Rais wa Barcelona, Joan Laporta

Sat, 15 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

FC Barcelona itawasilisha mpango kwa La Liga, mpango ambao utajumuisha kupunguza mishahara ya wachezaji kama vile Alba na Busquets na mauzo ya 24% ya Studio za Barca itakayoingiza milioni €100.

FC Barcelona itawasilisha mpango kwa La Liga, mpango ambao utajumuisha kupunguza mishahara ya wachezaji kama vile Alba na Busquets na mauzo ya 24% ya Studio za Barca itakayoingiza milioni €100. Laliga wanatarajiwa kukubali mpango huo na kuruhusu usajili wa mikataba mipya ya wachezaji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live