Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hakuna mchezaji tunayemtaka atakayeondoka Simba - Ahmed Ally

Kibu Denis Prosper Hakuna mchezaji tunayemtaka atakayeondoka Simba - Ahmed Ally

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema, hakuna mcahezaji wanayemtaka abaki kwenye klabu yao ambaye watashindwa kumbakisha.

Kauli hiyo imekuja ikiwa ni baada ya tetesi za Kibu Denis kudaiwa kutaka kuondoka klabuni hapo.

“Katika dirisha hili la usajili tunaemtaka atabaki Simba lengo ni kutengeneza Simba tishio turudi kwenye Ufalme wetu,” alisema Ahmed.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live