Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hakuna mchezaji Simba anayeingia kikosi cha kwanza Yanga - Kamwe

Ally Kamwe Mpira Hakuna mchezaji Simba anayeingia kikosi cha kwanza Yanga - Kamwe

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtazamo wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe ni kuwa katika kikosi cha Simba SC msimu huu wa 2023/2024 hakuna mchezaji yeyote anayeweza kuingia katika kikosi cha kwanza cha Yanga ya msimu huu.

Kamwe ameyasema hayo alipoulizwa kuhusu mtazamo wake kuhusu kikosi chao na cha watani wao.

"Wewe angalia kuanzia golini, golikipa wetu mmoja ni sawa na wao wanne labda. Hawana uhakika magolikipa wao ndio maana kila siku wanabadilisha, anafungwa huyu kesho wanabadilisha.

"Nenda hivyo hivyo Yao Yao, ndiye ana assist nyingi sa hivi, unaona nani sasa anaweza kuja kuingia kikosi cha kwanza Yanga?," alisema Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live