Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Haji Manara arusha kijembe TFF

Hajismanara 1691398971895 (1).jpeg Haji Manara arusha kijembe TFF

Mon, 7 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyewahi kuwa ofisa habari wa Yanga SC, Haji Manara amewatakia kila lakheri Wananchi Yanga SC katika uzinduzi wao wa documentary huku akirusha kijembe kiaina kwa TFF.

Kwenye ukurasa wake wa Instagram, Manara ameposti picha ya mgeni rasmi wa hafla hiyo ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila na kusindikiza na ujumbe huu:

"Kila la kheri Wananchi kwenye Documentary yetu kubwa ya leo. I wish ningekuwepo lakini nikienda tu kesho Press Release. Hope mtaenjoy hii kitu."

Haji alifungiwa kujihusisha na mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka miwili na TFF hivyo inaonesha kwamba amehofia kwenda kwenye uzinduzi huo kwa kuhofia atalimwa barua na TFF.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live