Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Habibu Kyombo atozwa faini kwa vitendo vya kishirikina

Kyombo Habibu Kyombo atozwa faini kwa vitendo vya kishirikina

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Singida Big Stars, Habib Kyombo ametozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina katika mechi dhidi ya Namungo.

Mshambuliaji wa Singida Big Stars, Habib Kyombo ametozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina katika mechi dhidi ya Namungo. "Mchezaji huyo alionekana akimwaga kimiminika katika goli la Namungo,"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live