Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Haaland atambulishwa Manchester City

Haaland Braut City Erling Bruut Haaland atambulishwa rasmi Man City

Mon, 13 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Sasa ni rasmi kwamba, Manchester City imetangaza usajili wa mshambuliaji Erling Haaland kwa mkataba wa mpaka 2027.

Haaland anafuata nyayo za baba yake, Alfie Haaland aliyewahi kuichezea Man City miaka 22 iliyopita kati ya mwaka 2000 mpaka 2003.

Man City wameachia picha tofauti za Haaland akisaini makata na akiwa na uzi matata wa klabu hiyo.

Tetesi za Haaland kutua City ni za muda mrefu, lakini sasa biashara imeisha hiyo.

Tazama Video hapa chini, kuona utambulisho;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live