Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Haaland apiga chini Dili la Netflix kulinda siri zake

Haaland Record Erling Haaland

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Manchester City na timu ya Taifa ya Norway Earling Haaland amekataa mchongo wa Netflix ambao walimuomba kuandaa documentary ambayo ndani yake itaonesha sanaa na uwezo wake mkubwa kwenye kufunga

Baada ya dili hilo kufa The Goal wametaja sababu kubwa ya Haaland kukataa kuwa ni mpango binafsi wa kulinda siri yake ju ya uwezo wake wa kufunga ambayo ndio mtaji kwenye biashara yake ya mpira.

Haaland amegoma kuuza notice

Chanzo: www.tanzaniaweb.live