Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Haaland apiga bao 2 Man City wakiichapa Everton

Haaland Bao 2 Haaland apiga bao 2 Man City wakiichapa Everton

Sun, 11 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MABAO ya mshambuliajim Mnorway, Erling Haaland dakika ya 71 na 85 jana yaliwapa Manchester City ushindi wa 2-0dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.

MABAO ya mshambuliajim Mnorway, Erling Haaland dakika ya 71 na 85 jana yaliwapa Manchester City ushindi wa 2-0dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad Jijini Manchester. Kwa ushindi huo, mabingwa hao watetezi wanafikisha pointi 52 katika mchezo wa 23, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa pointi mbili na Liverpool ambayo pia imecheza mechi moja zaidi, wakati Everton inabaki na pointi zake 19 za mechi 24 nafasi ya 18.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live