Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Haaland apiga Hat Trick, City ikiitandika Man United

CC237E3A C7A4 4DBD A376 E4E09E55F387.jpeg Haaland na foden kila mmoja amepachika mabao matatu

Sun, 2 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vijana wa Pep Guardiola, Manchester City wameitandika Manchester United mabao 6-3 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.

Mabao ya Man City yamefungwa na Phil Foden matatu dakika ya nane, 44 na 72 na Erling Haaland matatu pia dakika za 34, 37 na 64, wakati ya Man United yamefungwa na Antony dakika ya 56 na Anthony Martial mawili dakika ya 84 na 90 na ushei kwa penalti.

Kwa ushindi huo, Man City wanafikisha pointi 20, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa pointi moja na Arsenal, wakati Man United inabaki na pointi zake 12 nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi saba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live