Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Haaland aanza kwa kishindo EPL

Haaland Achafua Haaland aanza kwa kishindo EPL

Sun, 7 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji mpya wa Manchester City Erling Haaland amepachika mabao yote mawili katika ushindi wa 2-0 walioupata Manchester City ugenini dhidi ya West Ham United katika mchezo wa ligi kuu soka ya England.

Mshambuliaji mpya wa Manchester City Erling Haaland amepachika mabao yote mawili katika ushindi wa 2-0 walioupata Manchester City ugenini dhidi ya West Ham United katika mchezo wa ligi kuu soka ya England. Haaland ameanza kwa kishindo ligi ya EPL licha ya kutoonesha makali kwenye mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Liverpool juma lililopitia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live