Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

HISTORIA: Steven Gerrard alivyocheza mechi kwa sekunde 38 tu

Gerrard Red Card Steven Gerrard akitolewa Uwanjani baada ya Kadi nyekundu

Wed, 22 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tarehe kama ya Leo Miaka Nane iliyopita (22/3/2015) Steven Gerrard alitolewa Uwanjani baada sekude 38 tu kupita baada ya kuingia kwenye Mchezo wake wa Mwisho dhidi ya Manchester United akiwa na Jezi ya Liverpool.

Dakika ya 45:00 - Steven Gerrard anaingia kutokea Benchi huku Liverpool ikiwa iko nyuma kwa bao 1.

Dakika ya 45:38 - Gerrard anapewa kadi nyekundu baada ya kumkanyaga Ander Herrera.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live