Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

HALF TIME: Simba, Polisi Tz hakuna mbabe

SiMBA Vs Polisi (600 X 400) Rally Bwalya, akiwatoka wachezaji wa Polisi Tz

Wed, 27 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika kati ya mchezo wa Simba dhidi ya Polisi Tanzania huku kukiwa hakuna mbabe.

Katika dakika hizo 45 za kipindi cha kwanza Simba wametawala sehemu kubwa ya mchezo lakini Polisi Tanzania wameonekana kuwa hatari zaidi katika kufanya mashambulizi ya hatari.

Kadi tatu za njano zimetoka, Plisi Tanzania 2 na simba wamepata 1 mpaka sasa ambapo kwa upande wa polisi ni mabeki Yondani na Makapu.

Simba ni Hassan Dilunga HD.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live