Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Højlund mchezaji Bora wa mwezi EPL

Rasmus Hojlund Højlund mchezaji Bora wa mwezi EPL

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Manchester United, Rasmus Winther Højlund amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa mwezi Februari 2024 wa Ligi Kuu England.

Højlund ameshinda tuzo hiyo ya kufunga magoli manne na kusaidia (assist) goli moja kwenye mechi nne za Man United kwa mwezi Februari.

Højlund (21) raia wa Denmark alikuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kufunga katika mechi sita mfululizo za Ligi Kuu England mapema mwezi Februari.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live