Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gwija Liverpool: Bruno Hastahili kucheza Man United

Bruno Fernandez Epl Bruno Fernandez

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa Liverpool ya Uingereza, Graeme Souness amesema kuwa nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandez kwa uwezo wake hastahili kucheza katika timu hiyo na kama angecheza Manchester City au Liverpool basi angekuwa na uwezo mkubwa zaidi ya alikuwa nao sasa

Mchezaji wa zamani wa Liverpool ya Uingereza, Graeme Souness amesema kuwa nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandez kwa uwezo wake hastahili kucheza katika timu hiyo na kama angecheza Manchester City au Liverpool basi angekuwa na uwezo mkubwa zaidi ya alikuwa nao sasa "Bruno Fernandes ni mchezaji ila sidhani kama anafaa kuwa nahodha. Kwenye ishu ya ubora kama angechezea Liverpool au Man City angekuwa mchezaji bora zaidi. Lakini, muda wote amekuwa akitikisa kichwa kutokana na kukasirishwa. Nakubali pia amekuwa akitoka mchezoni mapema na hilo ndio udhaifu wake,” amesema Souness

Chanzo: www.tanzaniaweb.live