Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gundogan atua rasmi Barcelona

Gundogan Barcelonaaaa Ilkay Gundogan

Wed, 21 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa kimataifa wa Ujerumani Ilkay Gündogan amekamilisha uhamisho wake wa kutua Barcelona kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake kufikia tamati na Manchester City.

Kiungo wa kimataifa wa Ujerumani Ilkay Gündogan amekamilisha uhamisho wake wa kutua Barcelona kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake kufikia tamati na Manchester City. Gundogan amesaini mkataba wa miaka miwili mpaka Juni 2025 kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live