Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gundogan atemwa Manchester City

Ilkay Gundogan Ilkay Gundogan

Mon, 19 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa Manchester City, Ilkay Gundogan ni miongoni mwa wachezaji walioorodheshwa watakaoachwa kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi baada ya mkataba kufika tamati.

Nahodha wa Manchester City, Ilkay Gundogan ni miongoni mwa wachezaji walioorodheshwa watakaoachwa kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi baada ya mkataba kufika tamati. Gundogan alikuwa mchezaji muhimu kwenye mafanikio ya Man City msimu wa 2022-23 ilipobeba mataji matatu, ambapo alifunga mabao 11 na asisti saba katika mechi 51.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live