Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guinea warudisha bendera ya Taifa kwa kiongozi wa kijeshi

Guinea Warudisha Bendera Ya Taifa Kwa Kiongozi Wa Kijeshi Guinea warudisha bendera ya Taifa kwa kiongozi wa kijeshi

Tue, 6 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Guinea kutolewa kwenye Robo Fainali ya AFCON 2023, nahodha wa Guinea Naby Keita aliwaongoza wachezaji wenzake kurudisha bendera ya nchi kwa kiongozi wa kijeshi wa Guinea katika Ikulu ya Guinea Conakry.

Baada ya Guinea kutolewa kwenye Robo Fainali ya AFCON 2023, nahodha wa Guinea Naby Keita aliwaongoza wachezaji wenzake kurudisha bendera ya nchi kwa kiongozi wa kijeshi wa Guinea katika Ikulu ya Guinea Conakry. Guinea walitolewa na Congo kwenye mchezo wa Robo Fainali kwa magoli 3-1, kwenye mchezo huo Guinea walionesha uwezo mkubwa licha ya kutolewa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live