Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guede kaingia kwenye mfumo wa Gamondi

Aziz Guedee WA0014 Guede kaingia kwenye mfumo wa Gamondi

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Joseph Guede anakuja Yanga Sc alikuta timu ipo vizuri kwa hiyo ilikuwa ngumu kwake kuingia kwenye mfumo kwa sababu tayari timu ilikuwa ipo vizuri na timu isingeweza kubadilisha mfumo ili kumpa nafasi Guede.

Wakati Joseph Guede anakuja Yanga Sc alikuta timu ipo vizuri kwa hiyo ilikuwa ngumu kwake kuingia kwenye mfumo kwa sababu tayari timu ilikuwa ipo vizuri na timu isingeweza kubadilisha mfumo ili kumpa nafasi Guede. "Kwa sasa tayari Guede ameanza kuulewa mfumo wa klabu ya Yanga na ameanza kwenda nao sambamba."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live