Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guede atambulishwa Singida Black Stars

Guede MdzDU.png Guede atambulishwa Singida Black Stars

Thu, 11 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Black Stars zamani Ihefu FC, imemtambulisha aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga SC, Joseph Guede raia wa Ivory Coast.

Guede amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Singida Black Stars baada ya kumaliza mkataba wake wa miezi sita kuitumikia Yanga Sc.

Msimu uliopita nyota huyo raia wa Ivory Coast, amefunga magoli sita (6) na assist mbili kwenye NBC Premier League, akitumia dakika 1032 kwenye mechi 17 alizocheza.

Kwenye CRDB Bank Federation Cup, Guede amefunga magoli mawili kwenye mechi tano alizocheza akitumia dakika 118.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live