Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guede aibuka Mchezaji Bora wa Yanga mwezi April

Joseph G April Joseph Guede

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Gnadou Guede ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Yanga kwa mwezi Aprili mwaka huu.

Mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Gnadou Guede ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Yanga kwa mwezi Aprili mwaka huu. Guede ameshinda tuzo hiyo baada ya kuwaangusha kipa wa Mali, Djigui Diarra na kiungo mzawa, Jonás Mkude alioingia nao Fainali na kwa ushindi huo atapatiwa kitita en cha Sh. Milioni 3 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya NIC Insurance

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: