Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guede afungua akaunti ya magoli Yanga

Guede Magoli Guede afungua akaunti ya magoli Yanga

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Joseph Guede amefunga mabao mawili yakiwa ndio ya kwanza tangu asajiliwe dirisha dogo.

Guede amefunga mabao hayo dakia ya 13, 45 leo Februari 20, 2024 katika mchezo kwa kombe la Shirikisho la Azam (ASF) dhidi ya Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo Yanga wameenda mapumziko kifua mbele kwa mabao 3-0 dhidi ya Polisi, yakifungwa na Guede mawili na Farid Mussa moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live