Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guardiola anavyosambaza sumu kwa watoto wake Ligi mbalimbali Ulaya

Pep Guardiola 100 Pep Guardiola

Wed, 17 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Mnchester City, Pep Guardiola na vijana waliopita katika mikono yake wote wako vizuri katika Soka msimu huu.

Arsenal chini ya Mikel Arteta inatarajia kumaliza nafasi ya pili na kushiriki UEFA Champions League

Burnley chini ya Vincent Kompany imetwaa Ubingwa wa Championship msimu huu nchini England na kupanda Ligi ya EPL.

Barcelona chini ya Xavi imetwaa ubingwa wa LaLiga msimu huu na kuvunja utawala wa Real Madrid.

Man City chini ya Pep Guardiola inatarajia kushinda ubingwa wa EPL Msimu huu.

Ukipita kwenye mikono yake, hutoki hivi hivi lazima utoke na kitu chochote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live