Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guardiola akata tamaa Ubingwa wa EPL

Pep Guardiola Qatar Guardiola akata tamaa Ubingwa wa EPL

Mon, 16 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema hawatabeba ubingwa wa Ligi kuu England msimu huu baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Manchester United.

Guardiola ameipa Arsenal nafasi kubwa ya kubeba ubingwa baada ya kupoteza point tatu muhimu katika Uwanja wa Old Trafford dhid ya wapinzani wao.

Kocha huyo akizungumzia baada ya mchezo huo wa Manchester Derby, Guardiola alisema ubingwa Msimu huu Mashabiki wasahau.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live