Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guardiola aishika pabaya Arsenal

Pep X Arteta Pabaya Guardiola aishika pabaya Arsenal

Fri, 21 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Arsenal mnamuelewa kweli Pep Guardiola na Jeshi lake ? Yupo mlangoni mwako akihitaji kufahamu unaijua Ligi ya Ubingwa wa(EPL)?

Waulize Liverpool ya Jurgen Klopp, zaidi ya mara moja waliishia kusoma maandishi ya nyuma ya jezi ya Man City mpaka siku ya mwisho

Sasa uwanja ni kati ya Arsenal dhidi Manchester City nani atakuwa Bingwa wa msimu huu 2022/23.

Pointi 4 mbele ya Bingwa mtetezi ni ndogo sana hususani ukiangalia Man City ana mchezo mmoja mkononi na wiki ijayo wanakutana Aliye nafasi ya kwanza na aliye nafasi ya pili

Manchester City Vs Arsenal FC

Date. 26. April

Uwanja (Etihad Stadium)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: