Sat, 30 Mar 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola ametoa taarifa kuwa nyota wake Kelvin De Bruyne ameanza vyema mazoezi na huenda akawa sehemu ya kikosi kitakacho ikabili Arsenal Jumapili hii.
"Ederson anaendelea vizuri, Kyle Walker na John Stones watakosekana."
"Kevin De Bruyne amefanya mazoezi na kikosi yupo vizuri, tutaona maendeleo yake kwa siku chache zijazo"
"Manu Akanji yupo timamu". - Pep Guardiola.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live