Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guardiola: Foden ndio mchezaji bora kwa sasa Duniani

Guardiola With Foden Guardiola: Foden ndio mchezaji bora kwa sasa Duniani

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amebainisha wazi kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo na timu ya Taifa ya Uingereza Phil Foden kwasasa ndiye mchezaji bora zaidi duniani.

"Ni mchezaji bora kwenye ligi kuu Uingereza kwasasa na pengine duniani kote, ngumu kuamini, lakini ipo hivyo kwasasa" alisema Pep baada ya mchezo dhidi ya Man Utd.

Kwenye mchezo dhidi ya watani zao Manchester United kiungo huyo mshambuliaji alitupia mabao mawili kambani wakishinda 3-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live