Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guardiola: Alonso ni Kocha anetumia akili nyingi sana

Xabi Alonso X Pep G Guardiola: Alonso ni Kocha anetumia akili nyingi sana

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa kikosi cha Manchester City Pep Guardiola amemzungumzia kocha wa Bayer Leverkusen Xabi Alonso kama kocha mbishi na mwenye uthubutu mkubwa na amemsifu kwa ubora ambao ameujenga kwenye timu yake.

"Xabi Alonso ni mtu mwenye akili sana.Najivunia kuishi nae kwa zaidi ya mwaka mmoja, ni mtu mwenye akili na mwenye uthubutu na mbishi sana.

"Anafanya kazi nzuri ndio kocha pekee ambaye hajapoteza Mchezo sio DFB Pokal, Bundesliga au Europa.Ni moja wa kocha wa Ajabu sana".

"Michezo zaidi ya 30 hajapoteza hata mmoja na jinsi timu inavyocheza Wow inashangaza naimani atafanya vizuri Zaidi".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live