Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guardiola: Afadhali Klopp akiondoka, nitalala usingizi

Pep Guardiola.jpeg Guardiola: Afadhali Klopp akiondoka, nitalala usingizi

Sat, 27 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya hapo jana kocha wa Liverpool kutangaza kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu, leo kocha wa Man city Pep Guardiola amevunja ukimya akisema ataendelea kusalia Man city na ataongeza mkataba baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja uliosalia kuisha

Baada ya hapo jana kocha wa Liverpool kutangaza kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu, leo kocha wa Man city Pep Guardiola amevunja ukimya akisema ataendelea kusalia Man city na ataongeza mkataba baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja uliosalia kuisha Kuhusu kuondoka kwa Klopp, Pep amesema kuwa kwa sasa atalala usingizi mzuri kwani Klop alikuwa ni mshindani mgumu kuwahi kuwa naye katika maisha yake ya mpira.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live